Job 2:10

10 aAkamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu
Mpumbavu hapa ina maana ya kupungukiwa maadili.
yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?”

Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake.

Copyright information for SwhNEN